Ni kwa mda wa miaka 52, Tanzania imekuwa ikisherehekea sherehe za ukombozi (uhuru) Tusibaki kula fungate na hatuoni matunda ya uhuru. Kama Mwalimu na Mashujaa wetu wangelifikiria kula fungate kama tufanyavyo sidhani kama tungelifika.. Sipendi kuongea sana lakini naomba mchango wenu wa Tanzania
soma hacha siasa
ReplyDeletekuwa na hekima ili utimize malengo yako na baadae ujenge jamii yenye maendeleo uwezi kupigania haki wakati ungali katika mchakato
ReplyDeletesiasa ni maisha! ukikataa siasa unategemea maisha yako ataongoza nani? mind you,
ReplyDelete"if you fear to join politics you'll always be ruled by your inferiors"
nomaa sana
DeleteJOHN PASCHAL TEKU/BAED/HK/11657
ReplyDeleteLet any social media works for us
KAPELE HARRY, TEKU/BAED/HK/11677
ReplyDeleteMIAKA 52 YA UHURU.
Miaka hamsini na mbili, ni miaka ya uhuru Tanzania,
Tunatembelea kandambili, wazazi wanajifia,
Twaishi kama tumbili, kila mti twaurukia,
miaka hamsini na mbili, Wanafunzi tufanye nini?
nimejaribu kuzunguka, kuchunguza Mbeya yetu,
majibu niliyopata, kweli Mbeya inanuka,
si harufu ya damu, bali uchafu kila kona,
miaka hamsini na mbili, wanafunzi tufanye nini?
shangilio la nzi kipindupindu, chasogea kwetu,
tuamkeni jamani, jamii kuikomboa,
pita sehemu hizi, nawe utakubali,
miaka hamsini na mbili, wanafunzi tufanye nini?
naanzia kabwe kituo, cha mabasi toka chunya,
kwa sasa ni uwanja, wa kutengenezea magari,
si sawa tena si sawa, chakula kulia pale.
miaka hamsini na mbili, wanafunzi tufanye nini?
nenda zunguka chuo TEKU, majalala kibao,
mizoga ya mbwa , kutupwa kila kona,
pedi nazo zinazagaa, mvua ikinyesha nini twataraji,
miaka hamsini na mbili, wanafunzi tufanye nini?
Litaendelea......